Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani

NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.

kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)

Weekend njema.
Nmesoma Mara NNE post yako .

28yrs ni Reproductive Age

70% ya watoa nyuzi huwa hawalizingatii suala la Utayari wa "Kupima Afya".

I can say ,You are such a Practical, determined , decided and an Ideal woman .

Swali nalojiuliza hapa, Uliwezaje kujikusanyia Sifa nyingi nzuri ndani yako wewe mmoja ??.... Wakati upande mmoja unaonyesha Una Akili kubwa, Upande mwingine unaonyesha Moyo wako umejazwa na Mahaba ambayo kwa Mwanaume wako ni lazima Ajisikie " Mwenye Bahati" .

Enyi Mabaharia, Wanawake wengine sio wa kuchezea, kushindania Idadi ya K ulizochapa kwa wakati Fulani inaweza kua Sifa kwako,, Tabia yako kwako inaweza mfanya Bidada akabadilika maisha yake kuelekea Ubaya !!.

Ikiwa Una Lengo, na Uhitaji wa Kuoa sawasawa na hitaji la Mtoa mada, nenda kwa dhumuni hilo, na sio lazima Umgonge ndio sasa ujue hamuendani.

wanawake wa Kugonga kwaajili ya kusogeza siku na kuongeza Idadi ni wengi Humu JF na Huko nje.

Hawa ambao Huamua kuyaweka wazi Mahitaji yao, Basi muwalipe Wema , kwa sababu ni mioyo yao ndio imeona kua inahitaji sasa kumilikiwa na MTU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief Sam,mm nashindwa kuelewa kwann wanawake wanapenda wanaume warefu,mfano,mm Nina futi 7.2,ninapovaa nikapendeza,huwa naona wanawake wengi wakiniangalia sana,kwa kweli najihisi kutokujiamini napokuwa natembea njiani.
Nunua gari weka tinted uwe unajifungia humo
 
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani

NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.

kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)

Weekend njema.
Umenipata!! Chap njoo nichukue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom