Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Mimi ninavigezo vyote,tatizo huko pm spajui aise nakosa jiko ungeweka no,ya cm ingependeza mama.
 
Niko na best ni mimi kulia
images.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja waje wanao tafuta fulsa, mm kigezo kimoja kimenitoa nje ya ulingo
 
Iv mpaka miaka 28 msichana ujaolewa ulikua unafanya nin? alaf hakuna hunters wanaokuwinda hadi ujirahisishe mtandaon? au ndo akina Miss Buza!!
Huwa wanajioa wenyewe eeh?
wewe toka umeanza mahusiano umeoa wangap na kuacha wangapi?

kutafuta mwenza kunahusiana vipi na kujirahisisha?
Go preach to your blood sisters.
 
Hongera sana kama ndiyo wewe huyu...
wa kaskazini haka katoto kana 20 -24yrs only
hebu niulizie kabila gani maana mm kwenda Musoma ni kwenda pigwa huko
Bukoba ni km wanyarwanda nitagongewa kwa sana km wazaramo na waluguru tu
1587880300614.png
 
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani

NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.

kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)

Weekend njema.
Karibu pm tuyajenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafupi tuwe na kikao kifupi,kuijadili hoja hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chief Sam,mm nashindwa kuelewa kwann wanawake wanapenda wanaume warefu,mfano,mm Nina futi 7.2,ninapovaa nikapendeza,huwa naona wanawake wengi wakiniangalia sana,kwa kweli najihisi kutokujiamini napokuwa natembea njiani.
 
Sijui ni kwanini nafsi yangu inaniambia kuwa wewe ni humble girl
I wish.....but ndio hivyo haiwezekani
Naamini utampata mtu sahihi aliye humble km wewe
 
Huwa wanajioa wenyewe eeh?
wewe toka umeanza mahusiano umeoa wangap na kuacha wangapi?

kutafuta mwenza kunahusiana vipi na kujirahisisha?
Go preach to your blood sisters.
. Kwa akil hizi biblia haikukosea kusema tuishi nao kwa akil😂😂😂
 
Huwa wanajioa wenyewe eeh?
wewe toka umeanza mahusiano umeoa wangap na kuacha wangapi?

kutafuta mwenza kunahusiana vipi na kujirahisisha?
Go preach to your blood sisters.
alaf tuanzie hapa kwanin umetubadilishia ID?
 
Back
Top Bottom