Baba Wille
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 548
- 551
Ok wewe ni Mbasha? PoleMuone Mchomvu akupe daawa
Ndiyo linalokusaidia wewe? HongeraNunua tango
If you're serious karibu pmMi nina sifa zote hapo ila ninatumia kinywaji, sasa badala ya tuanze kusumbuana kwenye ndoa nambie kama utakuwa tayari maana siku naweza kurudi na harufu au nikanunua pombe zangu nisije kuonekana nakuletea mapepo nyumbani.
SawaPicha tuone[emoji15]
Badilika uoleweOk wewe ni Mbasha? Pole
Sawa shangaziBadilika uolewe
[emoji33]Sawa shangazi
Amen, thank you so much.I feel sorry for you margo! I wish you to get the one you deserve to be with you.
Unachekaeeeee[emoji33]
Maisha ni mafupi mkuu, kufurahi muhimu!Unachekaeeeee
Ukifanikiwa kumpata tuambie ili tusiendelee kuja inbox
Mmmh ina maana hujapata tuSawa nikifanikiwa ntaleta mrejesho.
Ndiyo!Mmmh ina maana hujapata tu
Wasiogope kufahamu afya yako/yangu ni muhimu.Vijana changamkieni fursa au mnaogopa kigezo Cha kupima [emoji3]
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Vigezo vyooote nimekidhi tatizo dini tu.Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.
Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.
Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani
NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.
kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)
Weekend njema.
Aisee🙄Vigezo vyooote nimekidhi tatizo dini tu.