Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,075
- 1,466
She replied softly and wisely.Zaidi ya Sanamu
That's so beautiful [emoji8]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
She replied softly and wisely.Zaidi ya Sanamu
Thank you😉She replied softly and wisely.
That's so beautiful [emoji8]
Mi najua unanikumbuka mrembo ila tu unaleta ukaidi [emoji1][emoji3]
[emoji16][emoji16] basi nimeshakukumbukaMi najua unanikumbuka mrembo ila tu unaleta ukaidi [emoji1][emoji3]
Ukikosa mkristo mwenzio karibu kwangu nikusilimishe uwe MuislamuHello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.
Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.
Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani
NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.
kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)
Weekend njema.
What a lovely beginning[emoji16][emoji16] basi nimeshakukumbuka
Ahsante babaaWhat a lovely beginning
karibu Iringa mamaa!
Ahsante sana, ntakaribia.Ukikosa mkristo mwenzio karibu kwangu nikusilimishe uwe Muislamu
Ahsante kwa ushauri, jpili njema.Futi 6 mcheck hashimu wengi tupo tano point jmn
SawaNjoo kwangu sawa nipo tayarii
mi nna 6.3Futi 6 mcheck hashimu wengi tupo tano point jmn
Ahsante kwa kumuelewesha kwamba si Hasheem pekee ndiye mrefu.👍mi nna 6.3
mi nna 6.3
tatzo kigezo sio urefu tuBasi fanya mpango mfate mtoto inbox mana anatafuta mtoto ajekuwa mcheza mpira wa kikapu
tatzo kigezo sio urefu tu
Ukiwa 5'10.5" unapiga viatu vya sole ya 1" unaangukia kwenye kwenye 5'11.5" hapo unakaribisha tu .. inakuwa 6' 🙂[emoji23][emoji23] duh ujatimia duh mi vigezo nimekosa point mbili tu nifike feet 6
Upo wapHello,