Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Kaz unga unga lakin utakula utavaa nina nyumba ninabiashara mbili tatu duka saloon mke awe na miaka 20-25 mwembamba kabila awe mnyamwez niko dar njoo dm tuyajenge
Ok, ahsante kwa tangazo ila mwanzilishi wa huu uzi hana hizo sifa (umri-above 25,umbo-si mwembamba), karibuni kwa waliokidhi vigezo.
 
Back
Top Bottom