Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Hivi kweli kwa vigezo hivyo hujapata tu au kuna tatizo sehemu...mbona vigezo vyako ni vizuri au kuna zaidi ya hapo au kuna mtu specifically unamtafuta huku
Hamna mtu specifically niliyemtarget mkuu, vigezo ni vizuri but huenda ni vigumu pia ndiyo maana bado.
 
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani

NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.

kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)

Weekend njema.
Haujasema kama upo ba bikra!!! Vigezo ninavyo lakini nataka kufahamu kama bado upo virgin
 
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani

NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.

kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)

Weekend njema.
NA KUHUSU MTARIMBO UJASEMA SIZE
 
Weekend njema.futi sita sina
 
Back
Top Bottom