Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Wale ambao tuna umri below 30 but vigezo vingine tunavyo tutume maombi pia!?😏😏
Ahsante kwa response yako, ila kigezo cha umri na urefu ni muhimu kuliko vingine vyote. He must be 30yrs and above. Thank you.
 
Ha ha ha! I agree, but I wanted her to think deeply
How deeply did you wished me to think?, do you mean mtu akihitaji kupima ndiyo yuko tayari the next day kuhave sex na je kupima is all about having sex? I asked for a friendship na baadaye hatua zingine kama uchumba na ndoa vingefuata je niende tu blindly bila kujua afya ya huyo mwenza?.
 
You can talk about kupima on your own, not in public, Hakuna mtu asiye tayari kupima, On the same note:

  • not all relationship reach sex.
  • not all dates actually repeat
 
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani

NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.

kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)

Weekend njema.
NAPATIKANA DAR

NAPATIKANA DAR NINA MIAKA 53
Tuwasiliane 0787 47 47 48
 
Je umechanja??
 
Back
Top Bottom