ormystatus
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 262
- 464
Simu: 079 531 536 9
Nimerudi tena, baada ya andiko la kwanza naona wawekezaji mnakuja na kuondoka.
Habari;
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Ninahitaji mdhamini kwenye biashara ya mazao ya bahari.
Kwasasa nimeanza kufanya hii biashara nikishirikiana na Mama angu mzazi, lakini mimi nimesimama upande wa Masoko tu, na Mama yupo upande wa ukusanyaji mzigo na usafirishaji mpaka Mtwara.
Samaki, Pweza, dagaa, Kamba, Ngisi, Simbi na mazao mengine ya bahari yanapatikana kisiwa cha Mkifuke (Msimbwa, Mozambique), ni kisiwa kilicho karibu na Mtwara, Tanzania.
Masoko ya bidhaa zetu ni Mtwara-ferry na Dar-ferry, tunauza kwa Kampuni pamoja na wanunuzi binafsi wa Jumla.
Hivyo, nahitaji mdhamini niweze kufikisha mzigo wa kutosha kwa wateja wangu.
MAKADIRIO YA JUU YA GHARAMA KAMA NINGEKUWA NAANZA KUTOKA SIFURI (kwa mzigo KILO 500)
Passport ya Muda mfupi (miezi mitatu) - 150k
Usafiri Dsm mpaka Msimbwa Mozambique + Chakula - 150k
Mafriza 3 mabovu 200L+ @ 200,000= 600k
Samaki Kg 250 @ 4k = 1M
Pweza kg 250 @ 4k= 1M
Mabarafu ya kutunzia kutunzia mzigo = 80k
Usafiri, wabebaji, wajaza mabarafu, ushuru, TRA = 270k
Malazi, chakula kwa kila awamu ya Kukusanya mzigo= 40k
______________
JUMLA = 3.37M
MAKADIRIO YA CHINI YA FAIDA (WATEJA WA MTWARA)
AWAMU 1:
Sokoni
250kg samaki @ 7.5k mnadani = 1.875M
250kg pweza @ 7k kwenye kampuni=1.75M
___________________
JUMLA = 3. 625
Makadirio ya Faida kwa awamu 1:
________________________
3.625M - 3. 37M= 255k (Gharama za Vitendea kazi inarudi na faida kidogo inabakia)
——————————————————-
AWAMU 2: Vitendea kazi vipo (friji, passport)
______________
Gharama: = 2.57M
Makadirio ya Chini ya Faida ya awamu ya 2:
_______________________
3.625M - 2.57M = 1.055M (standard Profit)
——————————————————-
IDADI YA CHINI KABISA YA MAUZO KWA MWEZI : 2
Makadirio ya chini ya Faida kwa Mwezi:
________________
1.055M x 2 = 2.11M
—————————————
IDADI YA JUU KABISA YA MAUZO KWA MWEZI: 4
Makadirio ya Chini ya faida kwa mwezi:
_________________
1.055M x 4 = 4.22M
————————————
Bei za Pweza DAR : 9k - 12k kwa kilo
Bei za Samaki DAR :9k - 12k kwa kilo, kulingana na aina
NB: Soko la DAR ES SALAAM LINA FAIDA ZAIDI
Mzigo ukinunuliwa kwa kupima kwenye ndoo na kuuzwa kwa ndoo au mafungo mara nyingi faida ni kubwa zaidi ya kuuza kwa KILO (Lakini kipimo cha uzito Kipo standard zaidi)

Attachments
-
AD8018EF-8A32-42ED-892B-095B351F9F84.jpeg134.7 KB · Views: 37 -
14C6A5CD-6D73-4EF2-8DD4-20B22706243F.jpeg119.2 KB · Views: 42 -
33610366-F666-4729-AB73-0B9280C709F7.jpeg151.1 KB · Views: 37 -
EC3B2F1E-656F-4743-99AC-F63D94CC9463.jpeg126.1 KB · Views: 35 -
E0770843-4D02-48C3-A40B-D8FB2F10BA07.jpeg189 KB · Views: 47 -
F1964BFA-88AF-4FB1-AD6F-DF1E6A10EE32.jpeg128.7 KB · Views: 38 -
B546D239-4470-4A54-BC4C-08B315B86F4E.jpeg69.9 KB · Views: 39