Nahitaji mdhamini(muwekezaji) kwenye biashara ya samaki, pweza, kamba, ngisi, dagaa wakavu na simbi

Sipo Tanzania nilirudi huku tukijaaliwa mwezi wa Nne ntakutafuta nimeondoka karibuni tu ningekua huko ningekuja mpaka huko ila hakuna kilichoharibika tuombe uzima nimetunza mawasiliano yako..
Sawasawa ndugu hamna shida, utakaporudi tutawasiliana.

Ikiwezekana naomba nitafute kama umependa wazo, kwasababu nataka nifanye maamuzi ya kufungua kampuni ambayo itakuwa na wawekezaji kadhaa tu.

Kwasababu baadhi ya wawekezaji wanapata wasiwasi kuhusu usalama wa fedha zao. Na sina asset (collaterals) ya kuwekea bond

Kwahiyo, utamiliki asilimia kadhaa za biashara na utabeba risks za biashara.
 
Ok sawa tutawasiliana nimetunza contact zako nina soko la hao samaki tutawasiliana tu.
 
Back
Top Bottom