Nahitaji mdhamini wa kuniwezesha kujenga shule kwa ajili ya kuhudumia wanafunzi wanaotembea umbali mrefu kwenda shule lakini pia kutengeneza ajira

Said Shagembe

Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
23
Reaction score
35
Wapenda wana Jamii Forums, je naweza nikapata shirika litakaloniwezesha kuanzisha mradi wa kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kwa ajili ya kupunguza tatizo la watoto kutembea umbali mrefu kwa ajili ya kupata elimu. Lakini pia kutengeneza ajira za kudumu kwa walimu waliohitimu na wenye sifa walio nje ya mfumo rasmi?

Naomba maoni yenu.
 
Wapenda wana jamii forum, je naweza nikapata shirika litakaloniwezesha kuanzisha mradi wa kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kwa ajili ya kupunguza tatizo la watoto kutembea umbali mrefu kwa ajili ya kupata elimu. Lakini pia kutengeneza ajira za kudumu kwa walimu waliohitimu na wenye sifa walio nje ya mfumo rasmi?

Naomba maoni yenu.
Shule itakua ya bure au ya kulipia?
 
Hii ni kutokana na watoto katika jamii hii kuchukua muda mrefu wakitembea kwenda shule. Aidha pia kutengeneza ajira za kudumu kwa walimu wenzangu walio nje ya mfumo rasmi wa ajira za serikalini. Mradi huu p[ia utainufaisha jamii kwa kuibua fursa mbali mbali za kibiashara na ujasiriamali.

Kama mdau wa elimu nimeona nilete kwenu wanajamii forum kwa ajili ya maoni yenu na hata support pale inapowezekana katika kufanikisha hili.

karibuni kwa mawazo na maoni yenu.
 
Wewe ni NGO au kiongizi wa kijjji?
 
Kama lengo kuu ni kupunguza adha ya watoto kutembea umbali mrefu kwenda kutafuta elimu hakuna haja ya kutafuta wafadhili, hapo ulipo kijijini washirikishe viongozi wako wa kijiji mpango wako, wakikubali wazo lako itisheni mkutano mkuu wa kijiji muwajulishe, baada ya hapo tafuteni eneo changishaneni pesa, fyatueni tofali, jengeni jengo la madarasa mawili na ofisi moja mpaka usawa wa lenta, baada ya hapo serikali wataingiza shule yenu kwenye mpango then watamalizia kujenga. Hiyo ndio njia rahisi ya kupata shule ya msingi au sekondari na hata zahanati kwa kutumia nguvu za wananchi
 
Kwan wewe unanini hadi sasa wadhamini watatakabwjue wewe kama wewe umefikia wap una kiwanja au unahata darasa moja la wanafunzi lisilo lasmi
 
Tuko kwenye dunia ya ubepari na utandawazi. Je, uko tayari kupokea msaada wenye masharti magumu kutoka kwa mabepari/mabeberu, ili tu kutimiza hiyo nia yako?

Maana hakuna kitu cha bure kwenye hii dunia ya sasa.

Anachosha watu maana hata hao walimu wanataka mshahara afu ujenge shule ya bure cjui anaona sisi ni serikali
 
Tuko kwenye dunia ya ubepari na utandawazi. Je, uko tayari kupokea msaada wenye masharti magumu kutoka kwa mabepari/mabeberu, ili tu kutimiza hiyo nia yako?

Maana hakuna kitu cha bure kwenye hii dunia ya sasa.
Masharti magumu kama yap rafiki
 
Ujui unachotaka usipotezee watu MDA hapa...

mara wasitembee umbali mrefu,,mara kusaidia tatizo la ajira,,mara elimu itakua Bure huo shule...!!!kwaio ao waalim na wafanyakazi utawalipa nn..

Hujielewi ww,,endelea kujitafuta kwanza bado hujajipata.
 
Hii ni kutokana na watoto katika jamii hii kuchukua muda mrefu wakitembea kwenda shule. Aidha pia kutengeneza ajira za kudumu kwa walimu wenzangu walio nje ya mfumo rasmi wa ajira za serikalini. Mradi huu p[ia utainufaisha jamii kwa kuibua fursa mbali mbali za kibiashara na ujasiriamali.

Kama mdau wa elimu nimeona nilete kwenu wanajamii forum kwa ajili ya maoni yenu na hata support pale inapowezekana katika kufanikisha hili.

karibuni kwa mawazo na maoni yenu.
Ni wazori zuri sana na inawezekana na unaweza niombe tu kama unaweza kumshauri mshauri kama hauwezi basi tusubiri wenye mawazo waje Mimi ninaamini Hilo unaliweza
 
Wapenda wana Jamii Forums, je naweza nikapata shirika litakaloniwezesha kuanzisha mradi wa kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kwa ajili ya kupunguza tatizo la watoto kutembea umbali mrefu kwa ajili ya kupata elimu. Lakini pia kutengeneza ajira za kudumu kwa walimu waliohitimu na wenye sifa walio nje ya mfumo rasmi?

Naomba maoni yenu.
Anza na mchango wako pia anzia na group lako la Whatsapp na magroup mengine
 
Wapenda wana Jamii Forums, je naweza nikapata shirika litakaloniwezesha kuanzisha mradi wa kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kwa ajili ya kupunguza tatizo la watoto kutembea umbali mrefu kwa ajili ya kupata elimu. Lakini pia kutengeneza ajira za kudumu kwa walimu waliohitimu na wenye sifa walio nje ya mfumo rasmi?

Naomba maoni yenu.
Check na haya mashirika
Save the children
UNICEF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom