Hapati, wana vigezo na masharti mengi
Sent using
Jamii Forums mobile app
Hayo yatakuwa matatizo yake, binadamu kwenye jamii hizi za kisasa wamebadirika sana. Wanaomba pesa kuanzisha mradi kusaidia jamii. Mradi ukiisha anza wana ugeuza kuwa mali binafsi na kuanza kutoza pesa na kujinufaisha wao binafsi. NGO's nyiingi sana zilizoanzishwa kwa pesa za wasamalia wema/volunteers zimegeuka kuwa mali za wasimamizi wa hizo NGO's.
Kwasasa Tanzania hii kuna shule hadi huko maporini kwa wamasaai. Yani kuna shule mpya kila wilaya zilizojengwa kwa pesa za serikali na kuna mradi wa BOOST pia wamemwaga pesa wanajenga. huko anakosema ni mbali ni wapi hasa, apataje.
Lengo ni zuri lakini wasimamizi wamekuwa mwbwamwitu kwenye ngozi za kondoo. Niliwahi kusaidia na kuomba misaada kwenye shirika moja huko nje likasaidia ujenzi wa kituo kulea watoto wa mitaani. Volunteers walitoka nje ya Tanzania, walisaidia ujenzi wa nyumba ya malazi, vitanda na baadhi ya vyombo vya kuanzia kuendesha. Wengine wakaja wakasaidia pesa cash za kuendesha kituo. Yaliyotokea baada ya miaka mitatu. Yule mwanzilishi na muendeshaji wa kituo alijimilikisha, na kudai alijenga kwa pesa zake na kila kitu ni mali yake, na sasa alitaka kupauza.
Volunteer mmoja akamshitaki serikalini kwa kuonyesha viambatanisho vya pesa na mawasiliano yote yaliyokuwa yanafanyika, tangu Wazo/idea mpaka kilipofikia.
Serikali ikamuwekea ngumu kuuza wakamtaka apeleke hati ya eneo husika na vielelezo vya alipata wapi pesa za kujenga na kuendesha. Alipokosa vielelezo walimpokonya wakalipa kanisa,yule kapigwa marufuku hata kutia mguu pale mahala.
Ndio maana nilitoa jibu rahisi nikasema " akaombe pesa bank".