Said Shagembe
Member
- Jan 25, 2019
- 23
- 35
Shule itakua ya bure au ya kulipia?Wapenda wana jamii forum, je naweza nikapata shirika litakaloniwezesha kuanzisha mradi wa kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kwa ajili ya kupunguza tatizo la watoto kutembea umbali mrefu kwa ajili ya kupata elimu. Lakini pia kutengeneza ajira za kudumu kwa walimu waliohitimu na wenye sifa walio nje ya mfumo rasmi?
Naomba maoni yenu.
Shule itakua ya bure au ya kulipia?
Wewe ni NGO au kiongizi wa kijjji?Hii ni kutokana na watoto katika jamii hii kuchukua muda mrefu wakitembea kwenda shule. Aidha pia kutengeneza ajira za kudumu kwa walimu wenzangu walio nje ya mfumo rasmi wa ajira za serikalini. Mradi huu p[ia utainufaisha jamii kwa kuibua fursa mbali mbali za kibiashara na ujasiriamali.
Kama mdau wa elimu nimeona nilete kwenu wanajamii forum kwa ajili ya maoni yenu na hata support pale inapowezekana katika kufanikisha hili.
karibuni kwa mawazo na maoni yenu.
nianzie wapi kufanikisha hili Carasco PutinInapendeza
Tuko kwenye dunia ya ubepari na utandawazi. Je, uko tayari kupokea msaada wenye masharti magumu kutoka kwa mabepari/mabeberu, ili tu kutimiza hiyo nia yako?
Maana hakuna kitu cha bure kwenye hii dunia ya sasa.
Masharti magumu kama yap rafikiTuko kwenye dunia ya ubepari na utandawazi. Je, uko tayari kupokea msaada wenye masharti magumu kutoka kwa mabepari/mabeberu, ili tu kutimiza hiyo nia yako?
Maana hakuna kitu cha bure kwenye hii dunia ya sasa.
Ni wazori zuri sana na inawezekana na unaweza niombe tu kama unaweza kumshauri mshauri kama hauwezi basi tusubiri wenye mawazo waje Mimi ninaamini Hilo unaliwezaHii ni kutokana na watoto katika jamii hii kuchukua muda mrefu wakitembea kwenda shule. Aidha pia kutengeneza ajira za kudumu kwa walimu wenzangu walio nje ya mfumo rasmi wa ajira za serikalini. Mradi huu p[ia utainufaisha jamii kwa kuibua fursa mbali mbali za kibiashara na ujasiriamali.
Kama mdau wa elimu nimeona nilete kwenu wanajamii forum kwa ajili ya maoni yenu na hata support pale inapowezekana katika kufanikisha hili.
karibuni kwa mawazo na maoni yenu.
Anza na mchango wako pia anzia na group lako la Whatsapp na magroup mengineWapenda wana Jamii Forums, je naweza nikapata shirika litakaloniwezesha kuanzisha mradi wa kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kwa ajili ya kupunguza tatizo la watoto kutembea umbali mrefu kwa ajili ya kupata elimu. Lakini pia kutengeneza ajira za kudumu kwa walimu waliohitimu na wenye sifa walio nje ya mfumo rasmi?
Naomba maoni yenu.
Check na haya mashirikaWapenda wana Jamii Forums, je naweza nikapata shirika litakaloniwezesha kuanzisha mradi wa kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kwa ajili ya kupunguza tatizo la watoto kutembea umbali mrefu kwa ajili ya kupata elimu. Lakini pia kutengeneza ajira za kudumu kwa walimu waliohitimu na wenye sifa walio nje ya mfumo rasmi?
Naomba maoni yenu.
Utaratibu huwaje mkuu had kupata ufadhili (nataman kujifunza)