Tatizo nikipanda hapa, Baba mwenye nyumba akinitimua, itabidi nimwachie!!! Yaani mwaka wowote nikija kuwa na kwangu, nakufuata mwenyewe hapo SUA... and I guess it'll remind me in those good old days ambazo tukimaliza semister bila kunji, watu tunajiuliza "tuna matatizo gani sisi... tumekuwa kama Mzumbe, au!!!Mkuu Chige kazi yako ni njema.Nitakutumi mche mmoja kama zawadi
Watoto wa siku hizi wanaogopa kugoma... sasa unamalizaje mwaka mzima chuo bila kufanya jambo lenu pale Nelson Mandela Freedom Square; aaaaaargh!!