Nahitaji miwani ya macho, nipo Arusha

Nahitaji miwani ya macho, nipo Arusha

Lakikunene

Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
98
Reaction score
92
Habarini wakuu na wataalamu mliopo humu...,nahitaji miwani ya macho na kusomea maana yananisumbua mno .,hivyo ni wap nitapata miwani na yenye frame nzuri pia
Nipo Arusha
 
Nenda Hosptali ya Mkoa utapata Huduma ya kupimwa macho pamoja na kupatiwa miwani kulingana na vipimo
 
Unapika/pimwa kwanza halafu ndio unapewa miwani. Hivyo nenda hospitali
 
Back
Top Bottom