Lakikunene
Member
- Jul 18, 2017
- 98
- 92
Habarini wakuu na wataalamu mliopo humu...,nahitaji miwani ya macho na kusomea maana yananisumbua mno .,hivyo ni wap nitapata miwani na yenye frame nzuri pia
Nipo Arusha
Nipo Arusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Serian siku ya jumamosi asubuhi utapatiwa vipimo na kuchagua miwani na frame utakayo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Serian siku ya jumamosi asubuhi utapatiwa vipimo na kuchagua miwani na frame utakayo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Hosptali ya Mkoa utapata Huduma ya kupimwa macho pamoja na kupatiwa miwani kulingana na vipimo
Ahsante pia