Wana CC,
Hope mko vyema.. najiingiza hapa nikiwa murua kabisa!
Nahitaji kufanya mahojiano ya wazi na wadada wafuatao,
Smile, Heaven on earth na Mrembo by Nature..
Kama mpo tayari naombeni mseme ili tuanze!
Nadhani hamtakwazika, pia kama maboys wenu wapo humu.. Watupe muda kidogo!
Nitahost na ninaomba Natalia usiwe mbali.
Then Mwali kama upo naomba uwe karibu, na nitapenda kama utakuwa sub-host..
Asanteni! Na karibuni sana..

Last edited by a moderator: