Nahitaji mjadala wa wazi na wafuatao.. Smile, Heaven on earth na Mrembo by Nature..kwanza!

Nahitaji mjadala wa wazi na wafuatao.. Smile, Heaven on earth na Mrembo by Nature..kwanza!

Kwa sababu washiriki wanaendelea kujiandaa..ngoja niwaandalie posho zao!
Smile, Worry out about posho!
Ipo..halafu Madame B stay calm usiwatie washiriki hamu ya posho, naamini kila mmoja hapa ataufurahia mjadala
U.S.A kunakaribia kukucha nikitegemea Natalia atakuwa hapa muda si mrefu.
Samahani sub-host Mwali, na wewe pia utapata posho.
Naomba ukiingia hapa uendeleze mjadala moja kwa moja!! Ni mjadala wa kichit chat, na hao wageni wetu hapo.
Itapendeza sana kama mjadala utabase zaidi kwenye uzungu na uafrika(weusi)kwa kila kitu na mahusiano..na mengineyo! Aminia..
 
Last edited by a moderator:
posho itakuwa kwenye bahasha..karibu sana kwenye mjadala, na ninaomba nianze na wewe;
Hivi uliwahi kujiuliza mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa na rangi gani? Logic qns
black cause babu wa loliondo ana unyayo wake! tena alikuwa masai maana mzungu na loliondo enzi za ujima wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom