Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nmekuona tu moyo wangu ukatabasamu. mambo? mia
Mbona mwenyekiti sina taarifa.... eti Sandeni, je u mgeni hapa galilaya!?
black cause babu wa loliondo ana unyayo wake! tena alikuwa masai maana mzungu na loliondo enzi za ujima wapi na wapi?
Mwenyekiti wa jukwaa! nipe ridhaa yako,
nilikaa kimya baada ya kugundua kuna vipengele nimeruka!
Pia nilitaka washiriki wote wawepo, na naamini utakaa pembeni ukichukua vipengele muhimu.. Hapa anayesubiriwa ni Natalia na Mwali ili shughuli ianze, kizuizi kikubwa hapa ni utofauti wa muda tulionao na umbali wakijiographia usisahau kila baada ya longitude 15(nyuzi) kuna utofauti wa saa.. Tuvute subira ili kuazimia na kutekeleza yale yaliyokusudiwa! Nafurahi kuwaona baadhi ya wadau hapa kama Ruttashobolwa na Arushaone..naamini uwepo wao utakuwa na tija. Ndugu washiriki wetu..tuendelee sasa.
Alijibu Smile, sasa naendelea...
Mambo vipi? mia mbili.
anategemea extreme sasa imeisha hadi ajiunge tena keshoBado network yako imegoma tu? na hizo posho kweli tutapata kama bando yenyewe ni shida
mambo poa mkuu. nilitaka nianze kurusha ndoano kwa Mrembo by Nature lakini umenikiatisha mzuka. mambo vipi ndugu yangu?. miaMambo vipi? mia mbili.
Ni mjadala wa wazi tu! mwenyekiti, ndiyo na mimi nawaomba washiriki..nawaomba hapa moja kwa moja, mwenyekiti.
marhaaba binti. nyumbani hajambo kabisa. wewe je?. miaSafi shkamoo mia, nyumbani hawajambo?
marhaaba binti. nyumbani hajambo kabisa. wewe je?. mia
Mimi pia sijambo na familia yangu
njoo kwenye mjadala mrembo! niambie unajua nini juu ya nature na nurture? niambie kwanza asili yako..by zone, afu tuongee!!