posho sh ngapi?
sidhani kama kuna cash, mtapewa chai ya rangi na donati moja moja.
hahaa kama ni hivyo mjadala wa wazi atakuja Natalia maana ye hana kazi "Hubby does everything"
ngoja sie Smile, Mrembo by Nature na me tukazisake cash maana hata chai majumban kwetu zipo
sidhani kama kuna cash, mtapewa chai ya rangi na donati moja moja.
Basi akafanye mjadala na mkewe hapa hela mbele huduma nyuma....muda baba muda baba
hii hatari sasa FFU wanini tena na kwa maslahi ya nani?
unauliza jibu king kan?
huo mjadala mwisho wake
lazima ni ngumi maana hao washiriki wa mjadala mh!!
Ndo mana yake...
Pesa mbele kama tai.
unauliza jibu king kan?
huo mjadala mwisho wake
lazima ni ngumi maana hao washiriki wa mjadala mh!!
Mhh hata mie jamani?
posho sh ngapi?
mi staki kusutwa Heaven on earth!!washiriki wa mjadala tukoje funguka Passion Lady...
JF ni express yourself......
mi staki kusutwa Heaven on earth!!
ila bi dada mliekua mnamshambulia jana
kama yupo FFU muhimu!!
Samahani kwangu network iligoma kabisa..