Nahitaji mjadala wa wazi na wafuatao.. Smile, Heaven on earth na Mrembo by Nature..kwanza!

mkuu, ndio maisha yetu haya unapo muona Mrembo by Nature ujue mie nipo 100mita kutoka kwake mahala popote

ngoja jembe figganigga afike hapa nadhani bado yupo kwenye uwanja mkubwa kucheki mechi..afu nasikia mnyama kashaua..simba nomaaa. and ts vise versa!!
 
Last edited by a moderator:
Libolo la bongo unalijua au unarisikia? figganigga anapita ninamo pita mimi, yani anakura nilipo acha.. yani kama wale mbwa wana watamani mbwa wenzao wanao enda kazini ah ah ah!

haaah! makubwa haya...
 
Last edited by a moderator:
akibisha nita mtoa nishai ile mbaya mbaya yani..... arafu nampango Mrembo by Nature asigusike tena kuwe hakuna A wala B wala nini... mwenye mpango mmbovu dhidi yake inabidi atulie tu pembeni

mrembo ye ndiyo atasema. anamtaka nani..sorry mi naona kama wanaendana sana na mkuu figganigga! we una hali ya kiudikteta
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…