Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa miss chaga....hiyo caustic soda inakuaje?.
Okay...Mimi nilikuwa nahitaji final product na sio raw materials... Asante
Habari zenu wakuu,Naomba kwa aliye na mawasiliano na yeyote mwenye uwezo wa kutengeneza sabuni za mche kwenye maumbo tofauti anipe contacts zake maana nahitaji sabuni za kuogea za mche.
Shukrani
Salama, unahitaji za aina gani hasa? Nikwaajili ya matumizi binafsi au biashara? Upo mkoa gani?
Nipo Dar,nahitaji kwa ajili ya biashara.Nahitaji sabuni za kuogea za mche.Ambayo ni standard isiyo na harufu kali katika size tofauti tofauti na shape respectively
Na yeye anatengeneza au anakua anafundisha tuu..