Nahitaji mjasiriamali wa kutengeneza sabuni za mche

juniour12

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
407
Reaction score
375
Habari zenu wakuu,Naomba kwa aliye na mawasiliano na yeyote mwenye uwezo wa kutengeneza sabuni za mche kwenye maumbo tofauti anipe contacts zake maana nahitaji sabuni za kuogea za mche.
Shukrani
 
Nafahamu dada anafundisha hiyo makitu.
Kama iko sawa niite nitakupa kontakti yake.
 
Habari zenu wakuu,Naomba kwa aliye na mawasiliano na yeyote mwenye uwezo wa kutengeneza sabuni za mche kwenye maumbo tofauti anipe contacts zake maana nahitaji sabuni za kuogea za mche.
Shukrani

Salama, unahitaji za aina gani hasa? Nikwaajili ya matumizi binafsi au biashara? Upo mkoa gani?
 
Nipo Dar,nahitaji kwa ajili ya biashara.Nahitaji sabuni za kuogea za mche.Ambayo ni standard isiyo na harufu kali katika size tofauti tofauti na shape respectively
 
Sawa, ntakucheki pm baadae ikiwezekana tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom