Nahitaji mke bora, kuanzia miaka 17 hadi 25

Wewe una sifa zp au ndo hyo digrii moja
 
Sasa mzee baba mbona unataka kubaka watoto. In mana hujui kama sheria ya nchi hairuhusu kuoa msichana wa chini ya miaka 18 au unajitoa akili
 
kigezo ambacho nakushauri uzingatie ni usafi tu.
 
PUMBAVU KABISA, miaka 17, mama yako alikuwa na mme? unatutangazia ubakaji wenu etii?

PUMBAVU KABISA, miaka 17, mama yako alikuwa na mme? unatutangazia ubakaji wenu etii?
matusi hayasaidi sana jibu hoja, kwani unadhani msichana anapevuka akifiksha miaka mingapi mkuu?? si ajabu mamaako alimzaa kaka yako wa kwanza akiwa na 16 na alikutana na babaako akiwa 15 uliwahi kumuuliza???
 
Wewe ni Mpumbavu, jibu swali kuwa miaka 17 mama yako alikuwa na mme?

matusi hayasaidi sana jibu hoja, kwani unadhani msichana anapevuka akifiksha miaka mingapi mkuu?? si ajabu mamaako alimzaa kaka yako wa kwanza akiwa na 16 na alikutana na babaako akiwa 15 uliwahi kumuuliza???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…