msanifuwaukweli
Member
- Jul 22, 2019
- 99
- 66
- Thread starter
- #41
sharia ya ndoa ya mwaka 1971 inaruhusu miaka 14 tu kuolewa ikiwa wazazi wataridhianaMiaka 17 sheria inasema ni mtoto. Utafungwa bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sharia ya ndoa ya mwaka 1971 inaruhusu miaka 14 tu kuolewa ikiwa wazazi wataridhianaMiaka 17 sheria inasema ni mtoto. Utafungwa bure.
wanawake wanagrow too fast hiyo miaka 17 mkiishi pamoja baada ya miaka kumi mtakua almost the same ,another 10years mwanamke ataonekana mzee17 and 30 the gap is too way biggg.
Remember at 30 you are ready to settle for life, at 17 she is starting her youth life.
A fish and a dove can fall in love but never live together, think big.
yap mimi ni bora mkuu vp wewe una vigezo??Unahitaji mke bora, wewe je u bora?
sharia ya ndoa ya mwaka 1971 inaruhusu miaka 14 tu kuolewa ikiwa wazazi wataridhiana
Nikikukuta na mdogo wangu wa miaka 17 utajutawanawake wanagrow too fast hiyo miaka 17 mkiishi pamoja baada ya miaka kumi mtakua almost the same ,another 10years mwanamke ataonekana mzee
😉😉😀 🙂🙂
hiyo sheria unaifahamu lakini?Ni sawa lakini kuna mkanganyiko hapo. Ndiyo maana wanasema umri chini ya miaka 18 ni mtoto.
Ukicheza miaka 30 inakuchungulia.
Yani wewe aipiti siku bila kukufumania humu...dawa yako ipo
Acha wivu bana.Yani wewe aipiti siku bila kukufumania humu...dawa yako ipo
Kwani wewe huu uzi ni wako?
Ukishapost uzi humu JF tayari mali ya Moderator ndio maana huwezi kuufuta. So tulia bwana harusi mtarajiwa.
hiyo sheria unaifahamu lakini?
sheria itanilindaNikikukuta na mdogo wangu wa miaka 17 utajuta
maamuzi gani tena mkuuTuyaache maana unaonekana umeshafanya maamuzi.
labda wasabato kwa wasabatoTuwache wasabato hata ss hatukutak tunataka wanaume sio wavulana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njoo pembeni
maamuzi gani tena mkuu
Mm ni msabato inategemea unamfuata wa aina gani dhehebu haileti misimamo , na wapo wanajiopamba vizuriwana misimamo mingi ya ovyo ,hata kujipamba tu kwao dhambi wakati mwanamke ni pambo la nyumba
yap mimi ni boraUnaposema mke bora, je wewe ni bora?
vikongwe hao, washatumika sanaMiaka 17 sio mke ni kitoto cha kuchekeana, kununiana na kugayana. Umri anzia 24_28