Nahitaji mke bora, kuanzia miaka 17 hadi 25

Nahitaji mke bora, kuanzia miaka 17 hadi 25

17 and 30 the gap is too way biggg.

Remember at 30 you are ready to settle for life, at 17 she is starting her youth life.

A fish and a dove can fall in love but never live together, think big.
wanawake wanagrow too fast hiyo miaka 17 mkiishi pamoja baada ya miaka kumi mtakua almost the same ,another 10years mwanamke ataonekana mzee
 
sharia ya ndoa ya mwaka 1971 inaruhusu miaka 14 tu kuolewa ikiwa wazazi wataridhiana

Ni sawa lakini kuna mkanganyiko hapo. Ndiyo maana wanasema umri chini ya miaka 18 ni mtoto.
Ukicheza miaka 30 inakuchungulia.
 
Tuwache wasabato hata ss hatukutak tunataka wanaume sio wavulana
 
wana misimamo mingi ya ovyo ,hata kujipamba tu kwao dhambi wakati mwanamke ni pambo la nyumba
Mm ni msabato inategemea unamfuata wa aina gani dhehebu haileti misimamo , na wapo wanajiopamba vizuri
 
Back
Top Bottom