Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,949
Mmmh ulitendwa na msabato si bure ,nieleweni,sichukii wanawake wa kisabato ila sipendi misimamo ya kisabato hasa kwa wanawake najua nikipata msabato hatutafika mbali tutakorofishana .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh ulitendwa na msabato si bure ,nieleweni,sichukii wanawake wa kisabato ila sipendi misimamo ya kisabato hasa kwa wanawake najua nikipata msabato hatutafika mbali tutakorofishana .
Unakaufara Fulani hivi mkuu naona elimu imekusaidi kusolve financial problems tu ...take care and try to observe advice. Inaoneka wewe ni mbaguzi wa kidini.Tumia akili mkuubado nasubiri aliye tayari kwa
mkuu wewe ni msabato na ulikua unahitaji mume??/ maana naona nimekukera sana ,pole ila ndio msimamo wangu,na wenye sifa wamekuja inbox najaribu kufanya selection kutokana na vigezo vyangu ili kupata mtu sahihiUnakaufara Fulani hivi mkuu naona elimu imekusaidi kusolve financial problems tu ...take care and try to observe advice. Inaoneka wewe ni mbaguzi wa kidini.Tumia akili mkuu