Nahitaji mke wa kuoa awe mnene

Kweli tupo tofauti, mwanamke mnene wa kazi gani sasa? Binafsi nikiona tu mwanamke ana zile nyama za tumbo, amenenepa ovyo hana shape hata pasipo takiwa kunenepa ye amenenepa, walahi appetite inakata hapo hapo!!
Tumetofautiana mkuu...Sasa nikupe siri..ukitaka ndoa yako idumu oa mwanamke mnene hutajuta wanaroho fulani hivi tamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…