Nahitaji mke wa kuoa awe mnene

Nahitaji mke wa kuoa awe mnene

Mwanaume mwenye afya ya mwili na akili na ana fedha na anakula vyema kabisa, sio mtu wa mapombe sana, hadi 65 yrs anakula mzigo sanaaa, huwezi amini, 45 yrs bado yuko at highest peak, labda ukute hali yake mbaya kiafya au kifedha. Maana hivyo vitu viwili vinachangia performance ya mwanaume sana.
Sawa mjomba Jay
 
Hivi humu ndani wanapataga wake kweli, je ukimpata hawazi kukupost humu tena akakutengezea Uzi 😄, Basi mkikubaliana kuweni na staha
 
Back
Top Bottom