Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
Sahihi kabisaaMimi naoa tu huyo wa 50s hyo tofauti ni ndogo sana, kwasasa hatutaki kelele za vichanga tunataka kupandisha life expectancy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisaaMimi naoa tu huyo wa 50s hyo tofauti ni ndogo sana, kwasasa hatutaki kelele za vichanga tunataka kupandisha life expectancy
Mkuu Tate unapenda kitambi sana?Dah! Mwanamke awe mnene! Kono kono, guu guu, shavu shavu! halafu ana kitambi! Mbona utampenda!!
Zingatia kuwa kupafikia ufanye kaziMkuu hii wife material tamu sana
Tapeli unakuja humu kutaka watapeli wadada. Utawapata malaya tu wenye akili huweziUmri wangu 45, mtumishi wa serikali.
Sifa za mke;
1. Elimu kuanzia kidato cha nne.
2. Dini yoyote.
3. Umri iwe Miaka 30-50.
Kwanza breakfast kwao ni saa6...chai na kiporo au vitumbua ..saa11 msos .ndo ntolee hiyo..dahCoastal nahisi Mambo ya kula kwa Bajeti huchangia Pakubwa.
Unakuta familia mchana wanakunywa Chai, alafu Usiku wanapima mchele robo tatu huku familia ina watu 7 🙌
Hahahahahahahaha dahNina miaka hamsini, ni mnene mpaka milango ya nyumba nimebomoa maana hapanitoshi, yaani nguo naweka special order viwandani,unasemaje husband to be?
Kwa kweli, ila sababu kubwa ni kipato.Kwanza breakfast kwao ni saa6...chai na kiporo au vitumbua ..saa11 msos .ndo ntolee hiyo..dah
Shukran mkuuu 💯Namshukru Mungu, asanteni Sana kwa wote mlioniombea nipate mke na wale ambao hamkuleta kejeli kwenye Jambo mhm Kama hili la kutafuta mke wa kuoa, tambueni kuwa syo kila mtu anamzaha na kitu anachokifanya.
NATAMKA RASMI KUWA MKE WA KUOA NIMESHA MPATA TUPO KWENYE MAZUNGUMZO.
ASANTENI NYOTE🙏🏼
Maisha ni safar huenda alikuwa naye kisha akafarik au wakapeana talaka hivyo mtu ameamua kuendelea na safari nyingine.Miaka 45 unatafuta mke? Ulikua wapi?
Halafu unataka aliyenenepeshwa na wenzio.