Nahitaji mke

kaka mega

New Member
Joined
Nov 9, 2022
Posts
2
Reaction score
5
Habari ndugu zangu,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38, nina elimu na nimeajiriwa serikalini, si mrefu, si mfupi, nina kama cm 168.

Naitaji mke mwenye elimu na aliyeajiriwa serikalini au sekta binafsi, na mwenye elimu, mwenye umri kuanzia 25 na kuendelea. Uwe muhitaji.
 
Kwaiyo wewe huwataki wajasiriamali unataka waajiriwa tu?
 
Wee ni mzee wa western nini?
 
Miaka 38 hujaoa ulikuwa wapi?
Au unataka kusomesha watoto kwa pesa za pension?
Kazini hujaona?
Kanisani hujapata mke?
Mtaani nako?
Shule?.
Au wewe ni Domo zege?
Hata kama Domo zege lakini mbona wanawake wanajitongozesha kwa mtu mwenye uhakika wa msosi.
Una tatizo, si bure
 
Kuoa Ni maamuzi,ume andika pumba,kila mtu anaoa anapo amua kwa sahihi kwake
 
Mkuu hapa umeyumba kidogo.
 
Ukute anao nje ya ndoa au mkewe amefariki,anataka kuoa,you never know.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…