Nahitaji mke

Hapa tu unafoka, huko ndoani si utakata mtu mitama shemeji.
Kutojitambua chanzo cha mauaji,Ndoa kuwa ya mateso badala ya furaha.kujitambua chanzo cha kujua thamani na ya mwenzio neno kujitambua lina upana wake.
 
Kuna thread mdau aliileta humu

"Alishauri ukitaka mke nenda kwa MWAMPOSA pale Kawe maana kuna wadada wengi tuu nao wanatafuta Wenza unaweza kupata huko.
Hivi mwamposa anafungaga ndoa kanisani kwake kweli?
 
Kuna hitaji langu alinitafuta pm laknini bahati mbaya pm yangu ilikuwa na shida karibu sana .imefanyiwa marekebisho
 
Kama nilivyotoa tangazo la kutafuta mke anaye jitambua hatimaye namshukulu mungu nimempata mke huyo.chaguo la moyo mwenye kujitambua.Tunatarajia kufanga ndoa mwezi 10 mwaka huo 2023 ,karibuni sana
Hongera sana mkuu kwa kupata mke karibu chamani ila ishu za UWABATA achana nazo
 
Kama nilivyotoa tangazo la kutafuta mke anaye jitambua hatimaye namshukulu mungu nimempata mke huyo.chaguo la moyo mwenye kujitambua.Tunatarajia kufanga ndoa mwezi 10 mwaka huo 2023 ,karibuni sana
Hakika umepata kwakuwa ametoka Kwa BWANA mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…