Nahitaji mke

Nahitaji mke

Kuna thread mdau aliileta humu

"Alishauri ukitaka mke nenda kwa MWAMPOSA pale Kawe maana kuna wadada wengi tuu nao wanatafuta Wenza unaweza kupata huko.
Hivi mwamposa anafungaga ndoa kanisani kwake kweli?
 
Kuna hitaji langu alinitafuta pm laknini bahati mbaya pm yangu ilikuwa na shida karibu sana .imefanyiwa marekebisho
 
Kama nilivyotoa tangazo la kutafuta mke anaye jitambua hatimaye namshukulu mungu nimempata mke huyo.chaguo la moyo mwenye kujitambua.Tunatarajia kufanga ndoa mwezi 10 mwaka huo 2023 ,karibuni sana
Hongera sana mkuu kwa kupata mke karibu chamani ila ishu za UWABATA achana nazo
 
Kama nilivyotoa tangazo la kutafuta mke anaye jitambua hatimaye namshukulu mungu nimempata mke huyo.chaguo la moyo mwenye kujitambua.Tunatarajia kufanga ndoa mwezi 10 mwaka huo 2023 ,karibuni sana
Hakika umepata kwakuwa ametoka Kwa BWANA mimi
 
Kila la heri mkuu na Mungu Akaibariki ndoa yenu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

Screenshot_20230602_085347_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom