Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Unatukaribisha wapi sasa Bwashee? Weka anuani kamili ya eneo la tukio bhana ili tuje kula ubwabwa. Na ikibidi pia utuwekee na jina la shemeji yetu, analotumia humu jukwaani.Kama nilivyotoa tangazo la kutafuta mke anaye jitambua hatimaye namshukulu mungu nimempata mke huyo.chaguo la moyo mwenye kujitambua.Tunatarajia kufanga ndoa mwezi 10 mwaka huo 2023 ,karibuni sana