Nahitaji mke

Nahitaji mke

Kama nilivyotoa tangazo la kutafuta mke anaye jitambua hatimaye namshukulu mungu nimempata mke huyo.chaguo la moyo mwenye kujitambua.Tunatarajia kufanga ndoa mwezi 10 mwaka huo 2023 ,karibuni sana
Unatukaribisha wapi sasa Bwashee? Weka anuani kamili ya eneo la tukio bhana ili tuje kula ubwabwa. Na ikibidi pia utuwekee na jina la shemeji yetu, analotumia humu jukwaani.
 
Nashukulu kwa hoja ubalikiwe sana.ila tangu mwanzo nilisema mke anaye jitambua sikusema mke mwenye matako makubwa au umbo namba nane au sura nzuri sana. Niiomba mungu anipe mke anaye jitambua hicho ndo kilikuwa kigezo namba moja hatimaye nimapata ,mengine namwachia mola wangu
Mtu anaweza act anajitambua then ukaconclude anajitambua, baba zetu ndo walioa mama zetu wanaojitambua tumelelewa nao na hivi sasa wanazeeka/ wamezeeka pamoja ila hiki kizazi chetu hawa wanawake tunaooa na pia hata sisi wanaume wengi wetu hatujitambui.
 
Mkuu hivi uko serious kabisa?

Umeweka tangazo la kuhitaji mke Tarehe 8 May. Baada ya wiki tatu tu umekuja na jibu umeshapata mke tena ume mBrand kabisa MKE MWEMA.

Hivi wema wa mtu unapimwa kwa maneno au matendo? Na je ni matendo gani(mambo gani) mmepitia ndani ya hizi wiki tatu ambayo yamedhihilisha wema wake?

Au kwavile uko katika kipindi cha furaha ndomana unamporomoshea misifa kibao?

OMBI: Baada ya miaka miwili uje kutupa mwendelezo wa series ili vijana wengineo wajifunze huenda hii ikawa bahati kubwa kwako toka kwa Mungu.
 
Asante mkuu nyumba bora hujengwa na msingi bora huwezi jua kipi kimenifanya niandike ivyo.pia nawatia moyo wengine wasikate tamaa kuona kila mwanamke hafai .
 
Acheni uchawi, yeye kasema kapata mke mwema, mnataka mlazimishe kua ni mke mbaya?? Kila mtu na fungu lake,
 
Darubini Kali hatimae imeona palipo sahihi Kila la kheri mkuu pia usisahau ukipata changamoto tunakukaribisha kuomba ushauri
 
Acha kuwa unapost porno

Hi, self-righteous and exalted one!

I never post porn.

I only appreciate beautiful women (which I think is commendable and a noble thing to do for every man who is "rijali").

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Porn (in all its forms) is illegal in our country

Thanks for your unwanted and ill-advised advice [emoji1545]
 
Darubini Kali hatimae imeona palipo sahihi Kila la kheri mkuu pia usisahau ukipata changamoto tunakukaribisha kuomba ushauri
Ila huwa sipendi kuwaza kushindwa .japo maisha ya ndoa yana changamoto japo itakuwa ajabu maana haya mambo yapo kwa kila mwanadamu hata sisi hatuwezi kuwa wakamilifu kwa kila jambo
 
Acheni uchawi, yeye kasema kapata mke mwema, mnataka mlazimishe kua ni mke mbaya?? Kila mtu na fungu lake,
Amina mkuu mipango ya mungu si kama ya wanadamu .akisema ndi nani apinge .asente kuhishimu maamuzi yangu.
 
Usioe ndoa ni utapeli,ndoa ni ugaidi,ujangili,umafia na ni ujambazi pia! Kama umenenepa ndio itakukondesha!,ukioa utatusumbua uanze kunywa sumu! Umuachie nani taifa,taifa lenyewe bado changa bwawa la umeme halijafunguliwa bado we unaoa!
Naam Bado kampeni zinaendelea
 
Hi self righteous one!

I never post porn.

I only appreciate beautiful women (which I think is commendable and a noble thing to do for every man who is "rijali").

➡️➡️➡️ Porn (in all its forms) is illegal in our country

Thanks for your unwanted advice 🙏🏿
Kwamba ndo unavyofkr , Sawa
 
Mkuu hivi uko serious kabisa?

Umeweka tangazo la kuhitaji mke Tarehe 8 May. Baada ya wiki tatu tu umekuja na jibu umeshapata mke tena ume mBrand kabisa MKE MWEMA.

Hivi wema wa mtu unapimwa kwa maneno au matendo? Na je ni matendo gani(mambo gani) mmepitia ndani ya hizi wiki tatu ambayo yamedhihilisha wema wake?

Au kwavile uko katika kipindi cha furaha ndomana unamporomoshea misifa kibao?

OMBI: Baada ya miaka miwili uje kutupa mwendelezo wa series ili vijana wengineo wajifunze huenda hii ikawa bahati kubwa kwako toka kwa Mungu.
ikipita hiyo miaka 2 ndio tutajua ameoa au ameolewa. huyu amedemka
 
Unatukaribisha wapi sasa Bwashee? Weka anuani kamili ya eneo la tukio bhana ili tuje kula ubwabwa. Na ikibidi pia utuwekee na jina la shemeji yetu, analotumia humu jukwaani.
Ntakuambia ila jina la shemeji lipo kapuni.ubwabwa lazima mle na kusaza kwa shemeji yenu huyu kaeni mkao kula na kunywa
 
Kama nilivyotoa tangazo la kutafuta mke anaye jitambua hatimaye namshukuru mungu nimempata mke huyo, chaguo la moyo mwenye kujitambua.

Tunatarajia kufanga ndoa mwezi 10 mwaka huo 2023, karibuni sana.
Mkuu tukaribishe tuje kumuona Mke na kula Mpunga pia....
 
Back
Top Bottom