hance na mimi naoooombanitafute nikusaidie
Kitabu cha dini gani kiliandika hivyo?mkopo ni dhambi ukikopa lazima ufilisike
Kuwa tu makiniNdugu habari ya majukumuuu?
Jaman mi niliamua kuanzisha mradi wangu wa kufuga wa kienyeji na sasa unaendelea vizur sana...
Nipo katika mpango wa kuuboresha zaidi wa kununua eneo pia na kujenga fensi ila tatizo ni pesa za kufanya hayo hivyo ninaomba anayejua mtu au taasisi yoyote inayotoa mikopo yenye masharti nafuu anisaidie,
Nipo Iringa na dhamana ni kiwanja chenye hati na thamani yake ni milioni 5 wakati mimi nahitaji mkopo wa milioni moja tu ntaulipa ndani ya miezi 6 kwa makubaliano na mkopeshaji
sikulazimishi kuamini nachokiaminiKitabu cha dini gani iliandika hivyo?
nina uhakika nturudisha na riba yake maana nataka kuboresha biashara ambayo tayari inafanya vizurkuwa lakini usipoteze mali yenye thamani ya 5m kwa 1m mikopo hii imewaangamiza wengi kimaendeleo japo wanauchumi kadhaa wanadai kwamba mikopo haiepukiki kama kweli unataka kufanikiwa. ahsante
Hakuna anayependa kutenda dhambi. Ungenisadia kujiokoa na dhambi hiyo ya kukopasikulazimishi kuamini nachokiamini
bora uvumilie tu mkuu riba ni dhambi na ukiweka kitu dhamana kwa mtu wengine sijui ni ulonzi hutoweza kurudisha hyo hela mpaka anachukua hcho kitunina uhakika nturudisha na riba yake maana nataka kuboresha biashara ambayo tayari inafanya vizur
wewe tenda dhambi tu sina shida na wewe utajaza na Mungu wako mahubiri nenda kwa gwajimaHakuna anayependa kutenda dhambi. Ungenisadia kujiokoa na dhambi hiyo ya kukopa
Acha kuongea vitu vya kukaririshwa ka kusuku. Neno Dhambi ulilisikia kwenye mahubiri. Anyways, all the best, lost soul.wewe tenda dhambi tu sina shida na wewe utajaza na Mungu wako mahubiri nenda kwa gwajima
am lost eeeh ok ! lost sheep son of devil!Acha kuongea vitu vya kukaririshwa ka kusuku. Neno Dhambi ulilisikia kwenye mahubiri. Anyways, all the best, lost soul.
si mkakope ? mafinancial lending institutions si yapo kibao? yanaitaji hata kuja jf kweli? go try them!naona kama anatishia watu hapa sijawahi kusikia eti mkopo ni dhambi