DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Achana nae.naona kama anatishia watu hapa sijawahi kusikia eti mkopo ni dhambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nae.naona kama anatishia watu hapa sijawahi kusikia eti mkopo ni dhambi
umesoma vizur kwanini hatuend huko unakotaka kwenda?,dah kweli tunatifautiana kuelewa tumekuambia milolongo na ugumwa masharti ndo unatuleta jf halafu huna sababu ya kununa mali yangu ikichukuliwa endapo nimeshindwa kulipa mkoposi mkakope ? mafinancial lending institutions si yapo kibao? yanaitaji hata kuja jf kweli? go try them!
wala sinuni umeleta jf nimetoa maoni yangu sio lazima uyafate kakope hayanihusuumesoma vizur kwanini hatuend huko unakotaka kwenda?,dah kweli tunatifautiana kuelewa tumekuambia milolongo na ugumwa masharti ndo unatuleta jf halafu huna sababu ya kununa mali yangu ikichukuliwa endapo nimeshindwa kulipa mkopo
How could you dare reply as such??? Can't you widely give them a lesson (reply ) that's in accordance to what you know?? Can't you advice them??! Maana MUNGU anasema...Mwenye fadhili anakirimu na kukopesha...je! Mungu anawaambia walio wake kufanya dhambi? Au ndio umemeza tu ulichofundisha pasipo kuelewa? Any way...sihitaji majibu katika niliyouliza. Keep them unto your heart!!! Asante.am lost eeeh ok ! lost sheep son of devil!
Lakini bandiko lake linaonesha kuwa ana hati miliki.tatizo wengi hatukopesheki kwenye taasisi za fedha kwa kukosa dhamana au kuwa na dhamana zisizokidhi vigezo ya wakopeshaji mfano kiwanja kisicho na hati miliki n.k ndiyo maana mleta mada kakimbilia huku ambako wako waungwana wanaoweza msaidia.
sawa hakunatatizo niliona kuwa ana hati ila nimeandika vile nikiwa na uzoefu kidogo wa mikopo ya benki.Lakini bandiko lake linaonesha kuwa ana hati miliki.
Ushauri wa bure,usikope Kwa kutaka maendeleo ya haraka haraka kusanya nguvu pole pole ufanye utakalo bila pressureNdugu habari ya majukumuuu?
Jaman mi niliamua kuanzisha mradi wangu wa kufuga wa kienyeji na sasa unaendelea vizur sana...
Nipo katika mpango wa kuuboresha zaidi wa kununua eneo pia na kujenga fensi ila tatizo ni pesa za kufanya hayo hivyo ninaomba anayejua mtu au taasisi yoyote inayotoa mikopo yenye masharti nafuu anisaidie,
Nipo Iringa na dhamana ni kiwanja chenye hati na thamani yake ni milioni 5 wakati mimi nahitaji mkopo wa milioni moja tu ntaulipa ndani ya miezi 6 kwa makubaliano na mkopeshaji
sawa na wewe nitakusaidia ila hujaniambia utanipa nn,hance na mimi naoooomba
Ukiona wanakuletea longolongo basi huna sifa za kukopa. Na hicho kiwanja hakina hati wala ofa, bali ni sahihi ya mauziano mbele ya mwenyekiti wa kitongojilongo longo nying sana kwenye hizo taasisi hasa mabenki
Mkuu samahani kwa swali. Ikiwa umenunua kiwanja na kikadhibitishwa na psnde mbili kwa maana kwamba mnunuaji na muuzaji ktk mkataba unaotambulika na serikali ya kitongoji ikishirikiana na ofisi ya mtendaji. Ukiupeleka bank yeyote huwezi pewa loan kwa kujidhaminisha na huo mkataba wa mauziano?Ukiona wanakuletea longolongo basi huna sifa za kukopa. Na hicho kiwanja hakina hati wala ofa, bali ni sahihi ya mauziano mbele ya mwenyekiti wa kitongoji
Huwezi pewa loan maana siyo kiwanja, umenunua aridhi mkuu. Kuna tofauti ya kiwanja na ardhi. Kiwanja lazima kiwe na kitalu/block na namba ya kiwanja.Mkuu samahani kwa swali. Ikiwa umenunua kiwanja na kikadhibitishwa na psnde mbili kwa maana kwamba mnunuaji na muuzaji ktk mkataba unaotambulika na serikali ya kitongoji ikishirikiana na ofisi ya mtendaji. Ukiupeleka bank yeyote huwezi pewa loan kwa kujidhaminisha na huo mkataba wa mauziano?