Nahitaji mkopo wa 1M kwa dhamana ya kiwanja chenye thamani ya 5M

Nahitaji mkopo wa 1M kwa dhamana ya kiwanja chenye thamani ya 5M

si mkakope ? mafinancial lending institutions si yapo kibao? yanaitaji hata kuja jf kweli? go try them!
umesoma vizur kwanini hatuend huko unakotaka kwenda?,dah kweli tunatifautiana kuelewa tumekuambia milolongo na ugumwa masharti ndo unatuleta jf halafu huna sababu ya kununa mali yangu ikichukuliwa endapo nimeshindwa kulipa mkopo
 
wala sinuni umeleta jf nimetoa maoni yangu sio lazima uyafate kakope hayanihusu
 
tatizo wengi hatukopesheki kwenye taasisi za fedha kwa kukosa dhamana au kuwa na dhamana zisizokidhi vigezo ya wakopeshaji mfano kiwanja kisicho na hati miliki n.k ndiyo maana mleta mada kakimbilia huku ambako wako waungwana wanaoweza msaidia.
 
am lost eeeh ok ! lost sheep son of devil!
How could you dare reply as such??? Can't you widely give them a lesson (reply ) that's in accordance to what you know?? Can't you advice them??! Maana MUNGU anasema...Mwenye fadhili anakirimu na kukopesha...je! Mungu anawaambia walio wake kufanya dhambi? Au ndio umemeza tu ulichofundisha pasipo kuelewa? Any way...sihitaji majibu katika niliyouliza. Keep them unto your heart!!! Asante.
 
tatizo wengi hatukopesheki kwenye taasisi za fedha kwa kukosa dhamana au kuwa na dhamana zisizokidhi vigezo ya wakopeshaji mfano kiwanja kisicho na hati miliki n.k ndiyo maana mleta mada kakimbilia huku ambako wako waungwana wanaoweza msaidia.
Lakini bandiko lake linaonesha kuwa ana hati miliki.
 
Ndugu habari ya majukumuuu?

Jaman mi niliamua kuanzisha mradi wangu wa kufuga wa kienyeji na sasa unaendelea vizur sana...

Nipo katika mpango wa kuuboresha zaidi wa kununua eneo pia na kujenga fensi ila tatizo ni pesa za kufanya hayo hivyo ninaomba anayejua mtu au taasisi yoyote inayotoa mikopo yenye masharti nafuu anisaidie,

Nipo Iringa na dhamana ni kiwanja chenye hati na thamani yake ni milioni 5 wakati mimi nahitaji mkopo wa milioni moja tu ntaulipa ndani ya miezi 6 kwa makubaliano na mkopeshaji
Ushauri wa bure,usikope Kwa kutaka maendeleo ya haraka haraka kusanya nguvu pole pole ufanye utakalo bila pressure
 
longo longo nying sana kwenye hizo taasisi hasa mabenki
Ukiona wanakuletea longolongo basi huna sifa za kukopa. Na hicho kiwanja hakina hati wala ofa, bali ni sahihi ya mauziano mbele ya mwenyekiti wa kitongoji
 
Ukiona wanakuletea longolongo basi huna sifa za kukopa. Na hicho kiwanja hakina hati wala ofa, bali ni sahihi ya mauziano mbele ya mwenyekiti wa kitongoji
Mkuu samahani kwa swali. Ikiwa umenunua kiwanja na kikadhibitishwa na psnde mbili kwa maana kwamba mnunuaji na muuzaji ktk mkataba unaotambulika na serikali ya kitongoji ikishirikiana na ofisi ya mtendaji. Ukiupeleka bank yeyote huwezi pewa loan kwa kujidhaminisha na huo mkataba wa mauziano?
 
Huwezi pewa loan maana siyo kiwanja, umenunua aridhi mkuu. Kuna tofauti ya kiwanja na ardhi. Kiwanja lazima kiwe na kitalu/block na namba ya kiwanja.

Ardhi siyo lazima iwe na vitu hivyo. Bank wanakubali kiwanja na sio ardhi mkuu. Maana ardhi inaweza kuwa ni open space, kiwanja cha mpira, eneo la barabara n.k
 
Nenda bank unakopesheka mimi ninao uzoefu.
Nilisha kopa zaidi ya mara 4 kwa kutumia viwanja vyenye utambulisho wa serekali ya mitaa.
Kinacho angaliwa ni thamani halisi ya kiwanja na mkopo ulio omba.
Ukitaka mkopo wa haraka nenda Access Bank na wengine kidogo NMB. Ila Access Bank ukizingua kulipa hawana simile.
Note: usiwe mwepesi kukata tamaa kwa kupewa majibu rahisi na watu wasio sahihi ( ambao hawajui).
 
Back
Top Bottom