Pawaga
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 1,349
- 1,011
Ndugu habari ya majukumuuu?
Jaman mi niliamua kuanzisha mradi wangu wa kufuga wa kienyeji na sasa unaendelea vizur sana...
Nipo katika mpango wa kuuboresha zaidi wa kununua eneo pia na kujenga fensi ila tatizo ni pesa za kufanya hayo hivyo ninaomba anayejua mtu au taasisi yoyote inayotoa mikopo yenye masharti nafuu anisaidie,
Nipo Iringa na dhamana ni kiwanja chenye hati na thamani yake ni milioni 5 wakati mimi nahitaji mkopo wa milioni moja tu ntaulipa ndani ya miezi 6 kwa makubaliano na mkopeshaji