October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu, kwann usiuze tu hiyo pc ili kupunguza kero za kudaiwa?Salam wakuu, Nina biashara nataka nianzishe na pesa nilizokuwa nategemea zilikuwa hazina shaka saaa mambo ya system haya wamenifutia pesa nime umiza akili mahesabu ayakai.
Nipo hapa kukopa kwa yeyote dhamana ni Laptop HP HDD 500, RAM 4GB, Proc 2.15.
Hii kitu nataka niianzishe sasahivi nipo Dodoma.
Mwanzo wa mwezi wa kwanza tu nishalipa.
Hii simu nayotumia ndogo mpaka kuandika shida hapo mwisho.
Mbona sikuhizi hizi nyuzi za kukopa zinakuja kwa kasi hivii
Watu wagumu kununuaPole sana mkuu, kwann usiuze tu hiyo pc ili kupunguza kero za kudaiwa?
Haha hahaJf itabidi ianzishe taasisi ya mkopo
Ova
Kila Mtanzania ana hali mbayaaa!!!Mbona sikuhizi hizi nyuzi za kuomba mikopo zinakuja kwa kasi hivii
Uchumi unakua..Mbona sikuhizi hizi nyuzi za kuomba mikopo zinakuja kwa kasi hivii