Nahitaji mkopo wa 400,000/=

Nahitaji mkopo wa 400,000/=

Salam wakuu, Nina biashara nataka nianzishe na pesa nilizokuwa nategemea zilikuwa hazina shaka saaa mambo ya system haya wamenifutia pesa nime umiza akili mahesabu ayakai.

Nipo hapa kukopa kwa yeyote dhamana ni Laptop HP HDD 500, RAM 4GB, Proc 2.15.

Hii kitu nataka niianzishe sasahivi nipo Dodoma.

Mwanzo wa mwezi wa kwanza tu nishalipa.

Hii simu nayotumia ndogo mpaka kuandika shida hapo mwisho.
Pole sana mkuu, kwann usiuze tu hiyo pc ili kupunguza kero za kudaiwa?
 
Mbona sikuhizi hizi nyuzi za kuomba mikopo zinakuja kwa kasi hivii
 
Once you have money you can conclude yourself that am cool.

Ngoja system zizingue kwako ndio utajua kwanini nyuzi nyingi.
Mbona sikuhizi hizi nyuzi za kukopa zinakuja kwa kasi hivii
 
Siku hizi ukikopesha bila ya kibali cha BOT utashtakiwa uhujumu uchumi
 
Back
Top Bottom