James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
Habar wana JF,ningependea kupata msaada kwa mtu yeyote mwenye taarifa ya Mahali ambapo naweza pata MKopo wa sh. milion Sita,Ni saccoss gan au benk gani inaweza nipatia mkopo kwa mda mfupi zaidi?naomba msaada,