Nahitaji Mkopo wa haraka wa milion Sita kwenye Saccos au Benk

Nahitaji Mkopo wa haraka wa milion Sita kwenye Saccos au Benk

James Hungury

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
825
Reaction score
612
Habar wana JF,ningependea kupata msaada kwa mtu yeyote mwenye taarifa ya Mahali ambapo naweza pata MKopo wa sh. milion Sita,Ni saccoss gan au benk gani inaweza nipatia mkopo kwa mda mfupi zaidi?naomba msaada,
 
kuna jamaa anakopesha ndani ya masaa 4 kama una kitu cha kuweka bond na riba 30% kwa mwezi kama unacho cha kuweka bond nicheck nikupeleke 0657145555 huwa anapenda zaidi magari , kama una gari ambayo thamani yake ni 10 m nakuendelea anakupa hiyo 6
 
Back
Top Bottom