mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Ukiwa na maisha mzuri wa kumshukuru ni Mungu, kuna watu wanauza karanga na pipi barabarani mitaji yao haizidi hata elfu kumi. Dharau si jambo jema, usirudie tena
Shukrani, ila kusema kweli sikukusudia kumdharau kabisa.