Nahitaji mkopo wa laki 1

Nahitaji mkopo wa laki 1

Alafu ni wa weka namba hpo utafutwe sasa ungekuwa kigoma ningekusaidia na mm unisaidie yangu pis hahahaha
 
Nanamba umetoa humu ndani utakopesheka mpaka utosheke mwenyewe vigezo vya mkopo si anatoa mkopeshaji ndio kawaida ya mkopo
 
Mkuu FUSO , heshima kwako ndugu.
Kwa mtu (kijana) mwenye mtaji wa Tsh laki 8 kamili, waweza mshauri afanye biashara gani kwa kipindi hiki? Preferably iwe biashara ya kukimbiza... yani ananunua na kwenda kuuza na kugeuka tena fasta. Ni kijana mpambanaji, yupo tayari kuingia mkoa wowote penye fursa ya biashara.
Ahsante.
Mwambie aje dar atafute sehem yenye kituo cha basi kilichochangamka auze matunda , atapata pesa sana tu mkuu
 
Mtafute Sirjeff anagawa ela za forex ..utapata zaidi ya laki moja.
 
Back
Top Bottom