mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Ukiwa na maisha mzuri wa kumshukuru ni Mungu, kuna watu wanauza karanga na pipi barabarani mitaji yao haizidi hata elfu kumi. Dharau si jambo jema, usirudie tena
Mwambie aje dar atafute sehem yenye kituo cha basi kilichochangamka auze matunda , atapata pesa sana tu mkuuMkuu FUSO , heshima kwako ndugu.
Kwa mtu (kijana) mwenye mtaji wa Tsh laki 8 kamili, waweza mshauri afanye biashara gani kwa kipindi hiki? Preferably iwe biashara ya kukimbiza... yani ananunua na kwenda kuuza na kugeuka tena fasta. Ni kijana mpambanaji, yupo tayari kuingia mkoa wowote penye fursa ya biashara.
Ahsante.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtafute Sirjeff kanagawa ela za forex ..utapata zaidi ya laki moja.
Hata mimi na hitajiHabari zenu wana JF, sorry guy mm nilikuwa nahitaji mtu au sehemu ambayo naweza kupata mkopo wa 100,000 nahitaji kujiajiri mwenyewe nifanye biashara,naomba msaada wenu