Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seriously? unataka kujiajiri na kufanya biashara kwa kuanzia na laki moja? au unamtaji wako ila ni kasoro hiyo laki moja unayotaka upewe mkopo?
Hapanavipi ulipata mkopo mkuu?
Fanyia kazi ushaur huuMtaji ni wazo lako kichwani, ondoa mawazo ya laki moja ukopeshwe kwanza ili ufanye ulichokibuni. Tunategemea una umri chini ya 25, kama hivyo ndivyo kuna kazi kibao za kufanya kuipata hiyo laki moja kwa wiki. Kama una zaidi ya miaka 25 basi wewe ni tatizo tayari maana unachokiomba hakiendani na umri wako.
1. Unaweza kuuza maji ya madumu -
2. Unaweza kuuza mayai ya kuchemsha unatembeza
3. Unaweza kwenda kwenye viwanda vidogo vidogo vyya kufyatulia matofali - kazi kibao kuyapanga, kupakia n.k
4. Unaweza kwenda kwenye vijiwe vya kuoshea magari - kazi mbwerere pale nguvu zako tu
5. Unaweza kutafuta kijiwe cha chipsi, ukajishikiza ukaanza hata kumenya viazi na kusaidi kugawa sahani kwa wateja nk
Kazi ni nyingi mno za kupata hiyo laki moja ya kuanzishia mradi wako - jiongeze kijana fainali huwa uzeeni mdogo wangu.
UNAFAA KUJIELEZA SAWASAAWA UKO WAPI NA UTALIPA VIPI?
UPO WEWE DOGOO MAMBOZZNami nakufuata unikopeshe kamillioni kamoja tu aisee. Lol.
-Kaveli-
Mtaji ni wazo lako kichwani, ondoa mawazo ya laki moja ukopeshwe kwanza ili ufanye ulichokibuni. Tunategemea una umri chini ya 25, kama hivyo ndivyo kuna kazi kibao za kufanya kuipata hiyo laki moja kwa wiki. Kama una zaidi ya miaka 25 basi wewe ni tatizo tayari maana unachokiomba hakiendani na umri wako.
1. Unaweza kuuza maji ya madumu -
2. Unaweza kuuza mayai ya kuchemsha unatembeza
3. Unaweza kwenda kwenye viwanda vidogo vidogo vyya kufyatulia matofali - kazi kibao kuyapanga, kupakia n.k
4. Unaweza kwenda kwenye vijiwe vya kuoshea magari - kazi mbwerere pale nguvu zako tu
5. Unaweza kutafuta kijiwe cha chipsi, ukajishikiza ukaanza hata kumenya viazi na kusaidi kugawa sahani kwa wateja nk
Kazi ni nyingi mno za kupata hiyo laki moja ya kuanzishia mradi wako - jiongeze kijana fainali huwa uzeeni mdogo wangu.
UPO WEWE DOGOO MAMBOZZ
NIPO SANA TU.......................Nipo madam. Uko poa? Missing you.
-Kaveli-
Mtaji ni wazo lako kichwani, ondoa mawazo ya laki moja ukopeshwe kwanza ili ufanye ulichokibuni. Tunategemea una umri chini ya 25, kama hivyo ndivyo kuna kazi kibao za kufanya kuipata hiyo laki moja kwa wiki. Kama una zaidi ya miaka 25 basi wewe ni tatizo tayari maana unachokiomba hakiendani na umri wako.
1. Unaweza kuuza maji ya madumu -
2. Unaweza kuuza mayai ya kuchemsha unatembeza
3. Unaweza kwenda kwenye viwanda vidogo vidogo vyya kufyatulia matofali - kazi kibao kuyapanga, kupakia n.k
4. Unaweza kwenda kwenye vijiwe vya kuoshea magari - kazi mbwerere pale nguvu zako tu
5. Unaweza kutafuta kijiwe cha chipsi, ukajishikiza ukaanza hata kumenya viazi na kusaidi kugawa sahani kwa wateja nk
Kazi ni nyingi mno za kupata hiyo laki moja ya kuanzishia mradi wako - jiongeze kijana fainali huwa uzeeni mdogo wangu.
Nenda kigamboni watu wengi hakuna hata bomba moja la dawasco; nguvu yako tu kusukuma mkokoteniHivi hiyo biashara ya kuuza maji, kwa Dar bado inatoka kwa maeneo yepi? Nataka nikomae nayo.
Nimeulizia maeneo ya Ubungo mpaka Kimara, wanasema saahivi hiyo fursa is no more. Dawasco weshatandaza bomba za kutosha.
-Kaveli-
Nenda kigamboni watu wengi hakuna hata bomba moja la dawasco; nguvu yako tu kusukuma mkokoteni
Njoo kigambon uchukue
Nenda kigamboni watu wengi hakuna hata bomba moja la dawasco; nguvu yako tu kusukuma mkokoteni
Ur not serious.Mkuu dojonase , habari za Kigamboni.
Hebu naomba unipe baseline info kuhusu biashara ya maji huko Kigamboni. Hali ikoje huko upatikanaji wa maji? biashara ya kuuza maji inatoka?
-Kaveli-
nimeshakupa hints kwamba biashara kule inalipa sababu hakuna bomba hata moja la dawasco kule; unaweza kupata hadi 50,000 kwa siku kwa kuuza hayo madumu kama una bidii - sasa wewe unataka details zipi zaidi ya hizi - kwa nini usiende na kufanya survey mwenyewe. maana sasa utanipa kazi tena ya kukupigia hesabu zaidi kwamba kukodi mkokoteni bei gani? je madumu nitapata wapi? je wateja wa kuanzia nitawapataje? je nikitumia punda wa kukodi kuvuta mkokoteni wanapatikana wapi? je kutumia punda au mimi mwenyewe kuvuta mkokoteni njia ipi ina faida kubwa nkKwanini unahisi I am not serious ?
-Kaveli-
nimeshakupa hints kwamba biashara kule inalipa sababu hakuna bomba hata moja la dawasco kule; unaweza kupata hadi 50,000 kwa siku kwa kuuza hayo madumu kama una bidii - sasa wewe unataka details zipi zaidi ya hizi - kwa nini usiende na kufanya survey mwenyewe. maana sasa utanipa kazi tena ya kukupigia hesabu zaidi kwamba kukodi mkokoteni bei gani? je madumu nitapata wapi? je wateja wa kuanzia nitawapataje? je nikitumia punda wa kukodi kuvuta mkokoteni wanapatikana wapi? je kutumia punda au mimi mwenyewe kuvuta mkokoteni njia ipi ina faida kubwa nk
Yaani ni hivi ukiona mtu ni tajiri ujue kasota; kama si yeye basi baba yake.
sasa Nenda pale Tungi - utaona vijana na mikokoteni kibao toka saa 10 alfajiri hadi saa 2 usiku wanatafuta pesa!!