Totozuriiii
Senior Member
- Mar 15, 2018
- 130
- 66
Kwanini uuze
Ni kiwanja kuna umeme na maji, na bandari ya nchi kavu ipo apoapoHiko ni kiwanja au shamba la mpunga, sio mvua ikinyesha unatafuta mtumbwi wa kwendea chooni
.
Document zipoNi kiwanja kuna umeme na maji, na bandari ya nchi kavu ipo apoapo
Miguu 70 kwa miguu 20, kipo kwala kwenye bandari ya nchi kavu...Kipo wapi? Ukubwa je¿.
Document zipo
1. Nenda kakope Bank... utakuwa unalipa kidogo kidogo.
2. Jiunge na kikoba kinachoeleweka au Saccos
Na vicoba si inachukua muda kupata mkopo1. Nenda kakope Bank... utakuwa unalipa kidogo kidogo.
2. Jiunge na kikoba kinachoeleweka au Saccos
kakope benki mkuu watu watakuliza, mtu atakupa hiyo hela kwa masharti makali pindi utakaposhindwa rejesha imekula kwako au mwingine atakuloga ushindwe kurejesha kiwanja kiende, pi benki utalipia kidogokidogoHabari zenu Wakuu!
Natafuta mtu wa kunikopesha milion 3 kuna jambo nataka nifanye, na uhakika wa kumlipa ndan ya miez mi2 milion 3 na nusu.
Nitailipa kwa uaminifu mkubwa tu
Kiwanja kina hati ya serikali ya mitaa, kipo mkoa wa pwani, ukubwa ni 70*20 ,nitakapolipa unanirudishia hati yangu.
Nipo tayari kwa maandikishiano.
Nimejaribu kukiuza lakin hakuna aliyefikia bei hvyo nimesitisha kukiuza..
Yoyote atakayeguswa tafadhali nipm.
Nakaribisha ushauri pia.
Asante kwa ushauri, bank wanahitaji hati miliki, kiwanja bado sijakipima kina hati ya serikali za mitaakakope benki mkuu watu watakuliza, mtu atakupa hiyo hela kwa masharti makali pindi utakaposhindwa rejesha imekula kwako au mwingine atakuloga ushindwe kurejesha kiwanja kiende, pi benki utalipia kidogokidogo
Hhaahah, hii aina nyingine ya kuuza viwanja visivyouzika
Nenda hospital kaongee na daktari waambie ndugu unaumwa figo inahitajika millions 15,ndugu watachanga faster utapata hiyo pesa haahaaa joking...
Pole kwa matatizo mkuu..
Tafuta madalali wakusaidie kukiuza pwke yako utachrlewa sana kupata mteja
Ukishindwa kuoata mteja wapo wakopeshaji wadogo wadogo sio lazima uende bank..
Je hicho kiwanja kina hadhi/thamani ya kuuzwa zaidi ya millions 5?
Boss naona unataka kuuza kiwanja hapa.