Nahitaji mkopo wa Milion 3 nalipa Milion 3.5 Ndani ya miezi miwili tu. Bond kiwanja

Nahitaji mkopo wa Milion 3 nalipa Milion 3.5 Ndani ya miezi miwili tu. Bond kiwanja

Kwa hiyo sura, mimi nakupa tu ukapambane toto zuri, kwani kuonga mil 3 shida iko wapi?
 
Umesema kuna maji na umeme ina maana kuna kibanda au unazungumzia kwa upande wa majirani?
Milion 8 kiwanja kwa usawa huu labda kiwe kiko Mikocheni.
Wewe ulikinunua au ni cha urithi?
 
Namaanisha umeme umefika nyumba za jirani.....mim nimekinunua si cha urithi
Umesema kuna maji na umeme ina maana kuna kibanda au unazungumzia kwa upande wa majirani?
Milion 8 kiwanja kwa usawa huu labda kiwe kiko Mikocheni.
Wewe ulikinunua au ni cha urithi?
 
Habari zenu Wakuu!
Natafuta mtu wa kunikopesha milion 3 kuna jambo nataka nifanye, na uhakika wa kumlipa ndan ya miez mi2 milion 3 na nusu.
Nitailipa kwa uaminifu mkubwa tu

Kiwanja kina hati ya serikali ya mitaa, kipo mkoa wa pwani, ukubwa ni 70*20 ,nitakapolipa unanirudishia hati yangu.
Nipo tayari kwa maandikishiano.

Nimejaribu kukiuza lakin hakuna aliyefikia bei hvyo nimesitisha kukiuza..

Yoyote atakayeguswa tafadhali nipm.
Nakaribisha ushauri pia.

Kwa mtu anayeeelewa mikataba kisheria, riba hii iko juu mno kiasi kwamba ni risky mtu kukukopesha kiasi hicho kwa riba hiyo halafu mkatengeneza mkataba kisheria (una bond na hiyo inaashiria kuwa unataka mkopeshane kisheria).
Tuseme ukishindwa kumrudishia halafu ukaja ukamruka kuwa wakati mnafanya makubaliano akili yako haikuwa sawa sawa, yaani ulikuwa insane, kuna uwezekano ukaja kumshinda kesi. Kumbuka insanity huwa ni mchawi wa mikataba. Riba kubwa kiasi hicho inaweza ikaingiwa kwenye makubaliano na watu ambao mmojawapo ni minor au ni insane, kitu ambacho huwa kina-diqualify mkataba outright!
 
1.siwezi kushindwa kulipa.
2 .siwezi kuja kumgeuka, mm ni mtu ninaejielewa na najua ninachokifanya..na ni muaminifu wa hali ya juu.

Asante kwa ushauri...ila siwez shindwa kulipa, nasiwezi kulogeka nna yesu ndani yangu
kakope benki mkuu watu watakuliza, mtu atakupa hiyo hela kwa masharti makali pindi utakaposhindwa rejesha imekula kwako au mwingine atakuloga ushindwe kurejesha kiwanja kiende, pi benki utalipia kidogokidogo
 
Nina uhakika kulipa ndani ya miezi miwili, sibahatishi
 
1.siwezi kushindwa kulipa.
2 .siwezi kuja kumgeuka, mm ni mtu ninaejielewa na najua ninachokifanya..na ni muaminifu wa hali ya juu.
Naelewa huwezi kugeuka ila offer yako kimkataba ni risky kwa yule anayekukopesha. Unaweza ukawa mwaminifu ndiyo lakini watu bado wakaogopa kukukopesha. Punguza hiyo riba
 
kaka naona unauza kiwanja milioni 3 ,kwa mkoani fanya milioni 2.5 utapata mteja
 
Back
Top Bottom