Nahitaji mkopo wa Milion 3 nalipa Milion 3.5 Ndani ya miezi miwili tu. Bond kiwanja

Nahitaji mkopo wa Milion 3 nalipa Milion 3.5 Ndani ya miezi miwili tu. Bond kiwanja

Kiwanja ni changu ...no matter wht u say...siuzi kwa bei iyo kaka...wew bado hujui thamani ya ardhi! Sikushangai
Duh! Yani kwala secondary ndio uuze hiyo bei? Hao waliokataa walikua na haki kule kwenye pori njia ya kwenda ngozi hata kipindi cha baba ridh isingefika hiyo bei sembuse hiki kipind cha baba J?
 
Kuna aliyefika hadi 4.5m na sikuichukua...kimepakana na eneo ambalo linajengwa hospitali kubwa...soon.kwala hautaiita kijiji tena ile bandari ikishazinduliwa wakianza kumiminika warwanda n mataifa mengine..ninaponunua kiwanja huwa sinunui tu ili mradi...naangalia na thamani ya eneo!
Duh! Yani kwala secondary ndio uuze hiyo bei? Hao waliokataa walikua na haki kule kwenye pori njia ya kwenda ngozi hata kipindi cha baba ridh isingefika hiyo bei sembuse hiki kipind cha baba J?
 
Hizo hela ni kwa biashara gani? Una uhakika gani utaweza kulipa 3.5m baada ya miezi 2?
 
Bandari ya Nchi ya kavu pwani ni Kwala, pale Kwala sehemu gani?? Kwenye kambi ya JKT, pale karibu na mnadani au kipo kwenye eneo la bandari???
Ni kiwanja kuna umeme na maji, na bandari ya nchi kavu ipo apoapo
 
Bandari ipo karbu na mnadani ...kwala ule upande wa pili... Na ujenzi wa reli mpya unaendea mbele kdogo ya reli
 
Mi mwenyew si mgeni kuna maeneo ya bei poa lakin si pale center...kama yapo nenda kanunue tu ,ila si pale kwangu
Labda kwa mgeni ila kwa mwenyeji kama mimi hiyo bei ni kubwa mno
 
Kipo karibu na shule ya sekondary na ofisi za kata pale centr
Bandari ya Nchi ya kavu pwani ni Kwala, pale Kwala sehemu gani?? Kwenye kambi ya JKT, pale karibu na mnadani au kipo kwenye eneo la bandari???
 
Nakupa number ya Mtu mmoja DM, mpigie, anahitaji kiwanja ajenge Guest House, si wajua tena pale bandari ikianza, watu pakulala hawana
Kipo karibu na shule ya sekondary na ofisi za kata pale centr
 
Kwa mtu anayeeelewa mikataba kisheria, riba hii iko juu mno kiasi kwamba ni risky mtu kukukopesha kiasi hicho kwa riba hiyo halafu mkatengeneza mkataba kisheria (una bond na hiyo inaashiria kuwa unataka mkopeshane kisheria).
Tuseme ukishindwa kumrudishia halafu ukaja ukamruka kuwa wakati mnafanya makubaliano akili yako haikuwa sawa sawa, yaani ulikuwa insane, kuna uwezekano ukaja kumshinda kesi. Kumbuka insanity huwa ni mchawi wa mikataba. Riba kubwa kiasi hicho inaweza ikaingiwa kwenye makubaliano na watu ambao mmojawapo ni minor au ni insane, kitu ambacho huwa kina-diqualify mkataba outright!
Mkuu huu ushauri wako nimeusoma na kuurudia sio chini ya mara tatu.
 
Back
Top Bottom