chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
SAWABei yake n m8...siuzi kwa milion3 mkuu..upo wrong
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAWABei yake n m8...siuzi kwa milion3 mkuu..upo wrong
Umesema kuna maji na umeme ina maana kuna kibanda au unazungumzia kwa upande wa majirani?
Milion 8 kiwanja kwa usawa huu labda kiwe kiko Mikocheni.
Wewe ulikinunua au ni cha urithi?
kiwanja unauza bei gani?
Sura si yangu mkuu wala isikudanganye hii...Kwa hiyo sura, mimi nakupa tu ukapambane toto zuri, kwani kuonga mil 3 shida iko wapi?
Sura ya kukodi siyo?Sura si yangu mkuu wala isikudanganye hii...
Habari zenu Wakuu!
Natafuta mtu wa kunikopesha milion 3 kuna jambo nataka nifanye, na uhakika wa kumlipa ndan ya miez mi2 milion 3 na nusu.
Nitailipa kwa uaminifu mkubwa tu
Kiwanja kina hati ya serikali ya mitaa, kipo mkoa wa pwani, ukubwa ni 70*20 ,nitakapolipa unanirudishia hati yangu.
Nipo tayari kwa maandikishiano.
Nimejaribu kukiuza lakin hakuna aliyefikia bei hvyo nimesitisha kukiuza..
Yoyote atakayeguswa tafadhali nipm.
Nakaribisha ushauri pia.
Kwa mtu anayeeelewa mikataba kisheria, riba hii iko juu mno kiasi kwamba ni risky mtu kukukopesha kiasi hicho kwa riba hiyo halafu mkatengeneza mkataba kisheria (una bond na hiyo inaashiria kuwa unataka mkopeshane kisheria).
Tuseme ukishindwa kumrudishia halafu ukaja ukamruka kuwa wakati mnafanya makubaliano akili yako haikuwa sawa sawa, yaani ulikuwa insane, kuna uwezekano ukaja kumshinda kesi. Kumbuka insanity huwa ni mchawi wa mikataba. Riba kubwa kiasi hicho inaweza ikaingiwa kwenye makubaliano na watu ambao mmojawapo ni minor au ni insane, kitu ambacho huwa kina-diqualify mkataba outright!
Sura ya kukodi siyo?
kakope benki mkuu watu watakuliza, mtu atakupa hiyo hela kwa masharti makali pindi utakaposhindwa rejesha imekula kwako au mwingine atakuloga ushindwe kurejesha kiwanja kiende, pi benki utalipia kidogokidogo
Nipo dar mkuuUngekuwa arusha ningekukopesha.
Toto zuri umekosa hata hapo mtaani wa ku(opesha
Naelewa huwezi kugeuka ila offer yako kimkataba ni risky kwa yule anayekukopesha. Unaweza ukawa mwaminifu ndiyo lakini watu bado wakaogopa kukukopesha. Punguza hiyo riba1.siwezi kushindwa kulipa.
2 .siwezi kuja kumgeuka, mm ni mtu ninaejielewa na najua ninachokifanya..na ni muaminifu wa hali ya juu.
kaka naona unauza kiwanja milioni 3 ,kwa mkoani fanya milioni 2.5 utapata mteja